Rais Magufuli -Tunataka Tanzania iwe kama Ulaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Watanzania wakiitunza amani ya nchi Tanzania itakuwa kama Ulaya.

Rais Magufuli amesema hayo leo Disemba 18, 2018 alivyokuwa anahutubia kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la upanuzi wa Barabara ya Kimara-Kibaha yenye urefu wa kilometa 19.2.

"Tunataka Tanzania tuitengeneze iwe kama Ulaya, na mimi nawaambia Watanzania tukishikamana vizuri tukaitunza amani yetu Tanzania itakuwa kama Ulaya kwasababu tuna kila kitu ila hizi resources zilikuwa zikipotea bure zikiibiwa kwasasa hivi kwa kipindi cha miaka mitatu miradi mingi mno ambayo inafanywa ni vigumu kuihesabu.

Comments

Popular posts from this blog

Wanakijiji watishia kumburuza kortini DC

TMA yatoa tahadhari mafuriko yaja