Angeline Mabula athibitisha wananchi kupokea zaidi ya Bilioni 1 kutoka Chuo cha Mzumbe

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya hafla fupi ya shukrani kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mabula amesema kuwa wananchi 130 tayari wamepokea fidia iliyotoka na kwa sasa wako tayari kutoa ushirikiano kwa ajili ya kushirikiana nao katika ujenzi wa Tawi la chuo hicho ambapo eneo hilo lina ukubwa wa Hekari 220.
Comments