Posts

Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma By Mtanzania Digital - December 11, 2018

Image
Mwandishi Wetu ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta  mwana si wako  umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda  Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na haki ya kujadiliwa kikamilifu na Serikali ambayo ilikwisha kutoa vyeti vya vibali vya madini na vishawishi vya uwekezaji. Sichuan Hongada Group inadai mradi umekuwa ukicheleweshwa na Serikali kutofanya yanayostahili huku ikijisahau  kuwa kampuni hiyo imekuwa ikibadilisha  masharti yake kama vile haijui nini inatakakwenye mradi. Wachunguzi wa mambo wanasema mradi huo kwa kila hali umepitwa na wakati kwani sheria zimebadilika na masharti yauchimbaji madini yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na sheria mpya za Tanzania ambazo zimebadilika kudai kupata faida kwenyeutajiri wake. Hongda Group inashauriwa nayo kubadilika ilikuzuia isijikute nje ya mradi kwa

Wanawake viwandani Tanga wampa tano JPM utekelezaji sera ya viwanda

Image
Wanawake wanaofanya kazi viwandani mkoani Tanga, wamemshukuru Rais John Magufuli, kwa utekelezaji wa vitendo wa sera ya viwanda na kwamba uwepo wa viwanda ni mkombozi kwa mwanamke. Wakizungumza na Mtanzania Digital katika mahojiano maalumu katika Kiwanda cha Chokaa cha Neelkhanth Kilichopo JijiniTanga, baadhi ya wanawake kiwandani hapo wamesema utekelezaji wa sera ya viwanda unaofanywa na Rais magufuli ni mkombozi kwa mwanamke. “Kazi nyingi za viwandani zimekuwa zikifanywa na wanawake jambo linalowakwamua na umasikini kwani kupitia hiyo nimeweza kutunza familia,” amesema Mwanamvua Ramadhani, mfanyakazi katika kiwanda hicho. Amesema wanawake ambao hawana ujuzi pia wamepata fursa ya kupata ajira za muda mfupi katika viwanda mbalimbali nchini. “Kama unavyofahamu wanawake tuna majukumu mengi hivyo kwa kweli utekelezaji kwa vitendo sera hii ni mkombozi, mwanamke kwa sasa kukaa nyumbani na kulia njaa ni kujitakia tu,” amesema Mwanamvua. Kiwanda hicho ambach

Miaka 50 ya Bakwata itumike kujitathmini

Image
DESEMBA 17, mwaka huu Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), linatarajia kufanya maadhimisho ya kutimiza miaka 50 tangukuanzishwa kwake. Maadhimisho hayo ya kitaifa ambayo yanatarajia kufanyika jijini Dar es Salaam, ni ya kwanza tangu baraza hilo lilipoanzishwa Desemba17, 1968 mkoani Iringa. Bakwata lilianzishwa kwa lengo la kuwaunganisha Waislamu wapate chombo cha kuwasemea, kuendeleza elimu kwa Waislamu, kutoa malezi namaadili mema kwa vijana, kuratibu shughuli zote za taasisi za Kiislamu nchini,kulinda na kusimamia mali za baraza hilo. Tangu lilipoanzishwa baraza hilo limeongozwa kwaawamu tatu, ambapo Sheikh Hemed Jumaa aliongoza kwa mara ya kwanza hadi mwaka2002, akafuatiwa na Issa Simba aliyedumu hadi mwaka 2015 na Sheikh Abubakar Zubeir aliyepo kwa sasa. Naamini kila uongozi uliopita unayo mambo mazuri uliyoyafanya kwa masilahi ya Waislamu wote nchini hususan awamu ya sasa chini ya Mufti Sheikh Zubeir ambaye tangu aingie madarakani amejipambanu

Alichokisema Rais Magufuli mradi wa kuzalisha umeme

Image
Serikali ya Tanzania na Misri zimesaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge ambao utakuwa na uwezo wa kuzalisha Megawati 2,100 za umeme. Mkataba huo umesainiwa leo Jumatano Desemba 12, Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kusaini mkataba huo uliokuwa kati ya Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, Watanzanaia wameombwa kuonesha ushirikiano wao kwa kuwa na mshikamano hadi hapo mradi huo utakapokamilika. “Niwaombe wananchi wanaoishi kwenye vyanzo vya maji muunge mkono mradii huu kwa kutunza vyanzo vya maji, msichome miti hovyo na kwa bahati nzuri Wakuu wa Mikoa wote mko hapa,” amesema Magufuli. Aidha, Rais Magufuli amesema mradi huo wa umeme wa Bonde la Mto Rufiji ulianza tangu kipindi cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, lakini kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kifedha nchi ilishindwa kutekelezajambo hilo.

Kamishna TRA ‘atangaza’ ajira kiaina

Image
              Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere, amesema mamlaka hiyo ina  upungufu wa rasilimali watu 1,930 hali inayosababisha ucheleweshwaji wa ukusanyaji kodi na kutofungua ofisi zao katika baadhi ya wilaya na kuifanya serikali kukosa mapato ya maeneo hayo. Kichere ameyasema hayo leo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya TRA katika kikao cha Rais Dk John Magufuli na mamlaka hiyo na wakuu wa mikoa  kilichofanyika leo Jumatatu Desemba 10, jijini Dar es Salaam ambapo amesema mbali na upungufu huo pia wanahitaji nyumba 114 za wafanyakazi wa mipakani na ukarabati wa majengo 76 ya ofisi zao ili kuwapa mazingira mazuri ya kufanya kazi zao kwa ufanisi na kuongeza mapato.  Aidha, Kamishna Kichere pia ameiomba serikali kupitia upya mfumo wa ulipaji kodi kwa wafanyabiashara wadogo ili kuwasaidia kulipa kodi kwa hiari na kuwaandalia maeneo maalumu ya kufanyia biashara ili kuisaidia TRA kukusanya kodi kirahisi. “Mahakama ya kodi ina kesi

RAIS JPM awajia juu wanasiasa wanaowatetea wafanyabiashara wasiolipa kodi

Image
    Rais John Magufuli, amewajia juu wanasiasa wanaowatetea wafanyabishara wasiolipa kodi na kuwataka kuacha mara moja huku akihimiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwakamata wafanyabiashara hao haraka iwezekanavyo. Ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 10, katika kikao maalumu kati yake uongozi wa TRA, na wakuu wa mikoa jijini Dar es Salaam ambapo amesema ni jukumu la kila Mtazania kulipa kodi. “Kuna taarifa ya baadhi ya wafanyabashara kutetewa na wanasiasa, kwa hiyo Meneja wa TRA anamuachia, ukweli huo upo mimi  ndiyo Mwenyekiti wa chama ninakwambia mshike. “Baadhi yawafanyabiashara wameendelea kukwepa kodi kwa ujanja wa kuendeleza shughuli zauendeshaji, TRA kama kampuni kila siku inapata hasara kwanini isifungwe? Sisi hatuhitaji wawekezaji wanaopata hasara kila mwaka maana yake hiyo shughuli imemshinda,” amesema. Aidha, amesema kuwa suala la kukusanya kodiha lina chama na kwamba ifike mahali watu wote walipe kwani wasipokusanya kodi nchi haitafika mahali.

Shahidi abanwa mshtakiwa kutoa rushwa kwa waziri

Image

Magufuli atoa vitambulisho maalumu kwa wafanyabiashara wadogo

Image
                    Rais John Magufuli, amezindua vitambulisho maalumu 670,000 kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo ili viwasaidie kuzitambulisha biashara zao. Rais Magufuli amegawa vitambulisho hivyo leo Jumatatu Desemba 10, alipokuwa katika mkutano wake na viongozi wa Mamlaka yaMapato (TRA) na wakuu wa mikoa ambapo amesema vitambulisho hivyo ni maalumu kwa wafanyabiashara ambao mtaji wao hauzidi Sh milioni nne. Baada ya kugawa vitambulisho hivyo maalumu kwa wakuu wa mikoa ili wakawapatie wafanyabiashara katika maeneo yao, Rais Magufuli ametaka wafanyabiashara hao wasisumbuliwe na mtu yeyote. “Nimefikia hatua ya kutoa vitambulisho hivyo mimi mwenyewe kwa sababu nimeona mamlaka husika inachelewesha na wafanyabiashara wadogo wanaendelea kusumbuliwa. Rais Magufuli amesema vitambulisho hivyo viko 670,000 na kila mkuu wa mkoa atapewa vitambulisho 25, 000 ili wakavigawe kwa wafanyabiashara wa maeneo yao na fedha watakazopewa wakazilipe TRA. “Vitambulisho hivi na

Mikopo mingi chechefu inatokana na wafanyakazi wa benki wasio waaminifu’

Image
                Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga, amebainisha sababu za benki kutokopesha linatokana na benki zenyewe kutokuwa na wafanyakazi waaminifu kwa kuruhusu wakopaji wasiokidhi vigezo na kusababisha mikopo chechefu. Kutokana na hali hiyo, amesema BoT imechukua jukumu la kufuatilia kuajiriwa kwa watumishi hao pamoja na mambo mengine.                               Profesa Luoga amesema hayo leo Jumatatu Desemba 10, katika mkutano wa Rais John Magufuli na uongozi wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA). “Ni kweli benki zinapaswa kuwa huru lakini BoT inapaswa kuangalia mwenendo wao, kwa mfano kuna wakati mikopo ilikuwa haitolewi, BoT imechukua jukumu na imekuwa ikikaa chini na benki nchini kutathmini kwanini mikopo haitolewi na mara nyingi majibu na kwamba benki inaogopa hasara kwa sababu watu hawajulikani lakini BoT imechukua jukumu kuhakikisha watu wanajulikana. “Pia kumekuwa na tatizo la rushwa, wakopaji wengine wabovu

GENETICS FIV

CHEMISRTY SOLVED EXPERIMENT (VOLUMETRIC ANALYSIS)

BIOLOGY F I

CLASSIFICATION IN PLANT FORM THREE

REPRODUCTION NOTES :BIOLOGY FORM THREE

EXCRETION AND REGULATION (FORM THREE)

CO -ORDINATION :BIOLOGY NOTES FORM THREE

MOVEMENT BIOLOGY NOTES FORM THREE

Image

ORGANIC CHEMISTRY NOTES (O -LEVEL)

BIOLOGY PRACTICAL QUESTIONS (FOOD TEST) O -LEVEL