Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli ameaga
Mwili wa Marehemu, Profesa Egid Beatus Mubofu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
Cha Dodoma nyumbani kwakwe Tabata wilaya ya Ilala.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa heshima
zake za mwisho kwa Marehemu Profesa Egid Beatus Mubofu aliyekuwa Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) mara baada ya kuwasili Tabata Wilaya
ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18,2018
Nchini Afrika Kusini |
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akimpa pole
Bi.Joyce Chamhuro (Mke wa Marehemu) pamoja na familiya ya Marehemu
Profesa Egid Beatus Mubofu aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma(UDOM) , mara baada ya kuwasili Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani
kwa marehemu, aliyefariki dunia Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini |
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini
katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Profesa Egid Beatus Mubofu
aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) mara baada ya
kuwasili Tabata Wilaya ya Ilala nyumbani kwa marehemu, aliyefariki dunia
Desemba 18,2018 Nchini Afrika Kusini
|
Comments