AliKiba ajibu kuhusu kuoa mke wa pili



Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, AliKiba amepata kigugumizi kuhusu kuoa mke wa pili.

AliKiba kwenye mahojiano yake kwenye kipindi cha The PlayList cha Times FM amesema kuwa Mungu akijaalia we acha tu bila kutoa jibu sahihi.

"Yaani unajifanya mjanja sana rafiki angu wewe, angekuwa mtu mwingine kashapitisha, sasa unatakaje Boss, utanitafutia? alihoji AliKiba.

"Inshaallah Mungu akijaalia we acha tu ntakupigia shekhe wewe simu, jamani utanisaidia mimi nakwambia."

Comments

Popular posts from this blog

Wanakijiji watishia kumburuza kortini DC

TMA yatoa tahadhari mafuriko yaja