je, aacha mtoto mwema? Baba Mzazi wa Alikiba afariki Dunia

Baba wa msanii wa msanii wa Bongo Fleva, AliKiba amefariki dunia.

Mzee Saleh Kiba mefariki Dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa.

Alikiba anafikwa na msiba wakati akiwa kwenye mchakato wa kuhakikisha kinywaji chake cha Mo Faya kinaingia sokoni.



Comments

Popular posts from this blog

Wanakijiji watishia kumburuza kortini DC

TMA yatoa tahadhari mafuriko yaja