je, aacha mtoto mwema? Baba Mzazi wa Alikiba afariki Dunia

Mzee Saleh Kiba mefariki Dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa.
Alikiba anafikwa na msiba wakati akiwa kwenye mchakato wa kuhakikisha kinywaji chake cha Mo Faya kinaingia sokoni.