CAG ashindwa kunyamaza, amjibu Spika
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG), Prof. Mussa Asad
amesema kuwa ameitika wito wa kisheria kutoka wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge, Maadili na Madaraka ya Bunge uliyomtaka kwa ajili ya mahojiano
ifikapo January 21 mwaka huu.
Comments