VIDEO: Walalamikia hali kibiashara kuwa ngumu
Wafanyabiashara
wa maduka katika stendi ndogo jijini Arusha wamefunguka na kuelezea
hali ya kibiashara katika kipindi hiki cha sikukuu ya krismas na mwaka
mpya kwamba ni ngumu kuliko mika iliyopita ilikuwa na afadhali.
Akizungumza Katibu wa wafanyabiashara stendi ndogo jijini Arusha Anjelo Shokia amesema kuwa kwa hali hiyo itapelekea wengi kufunga biashara na kutafuta vitambulisho ili kurudi hali ya kuwa wamachinga.
Comments