VIDEO: Serikali ya JPM yapongezwa kwa kupanua wigo wa ajira
Baadhi
ya wamiliki wa vituo vya mafuta jijini ARUSHA wamesema usimamizi mzuri
wa serikali katika biashara hiyo umeweza kuifanya sekta hiyo kuimarika
na kutoa fursa kwa Watu kuwekeza katika sekta hiyo jambo linaloweza
kuongeza wigo wa ajira kwa vijana.
Comments