Ndege
mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Airbus A220-300
ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka
Montreal, Canada, kuja nchini Tanzania tayari kuanza kazi ikiwa
imebatizwa jina la Ngorongoro.
Ndege
mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho
kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari
kuanza kazi.
Mmoja wa wajumbe wa Tanzania akipata maelezo ya Ndege mpya aina ya
Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya
kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa na Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa
kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka
Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi .
Ndege
mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho
kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari
kuanza kazi.
\
Comments