Mourinho: aendelea kuharibiwa

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amekuwa ni mwiba kwa kocha Jose Mourinho baada ya kufutwa kazi Man United na hii nikutokana na rekodi zilizopita.

Ikumbukwe kuwa mnamo Aprili, 2013, Mwezi mmoja baada ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Dortmund chini ya Jurgen Klopp, Mourinho akatimuliwa Real Madrid.

Miaka miwili baadaye Chelsea ikamtimua Mourinho baada ya kufungwa mabao 3-1 na Liverpool pale Stamford Bridge.

Sasa Klopp kaiongoza tena Liverpool kuitwanga Man United 3-1 na Mourinho kafutwa kazi!

Comments

Popular posts from this blog

Uchaguzi DRC: Kanisa Katoliki lasema kuna mshindi wa wazi uchaguzi wa urais

Tumbua tumbua: vigogo Ardhi Kigoma wavuliwa nyadhifa