Posts

MBINU ZA KUFAULU MTIHANI KWA WANAFUNZI

Image
Ili mwanafunzi aweze kufaulu mtihani lazima afanye yafuatayo 1.Mtihani ni nini? 2.kwanini kuna mtihani? 3.anayetunga mtihani ninani? 4.mtihani unajibiwa na nani? 5.mbinu gani za kujibu mtihani? 6.Mtihani unajibiwa ukiwa na hali gani (mud) 7.Nitafanyeje ili niweze kufaulu mitihani yangu? 8.Nifanyeje kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani? 9.Nikina nani wanapaswa kufaulu mtihani? Akijua maswali haya mwanafunzi atajijengea juhudi ya kusoma ili afaulu zaidi KUMSAIDIA MWANAFUNZI AFAULU SAYANSI   BONYEZA HAPA

VIDEO: JPM AFYEKLEA MBALI FORMULA MYA SAKATA LA KIKOKOTOO

Image
Rais Magufuli ameamuru mifuko ya hifadhi ya jamii iendelee na kikokotoo kilichokuwa kikitumika kwa kila mfuko kabla ya mifuko hiyo kuunganishwa kiendelee hadi mwaka 2023 ambapo inakadiriwa kuwa wanachama takriban 58,000 ndiyo watakaostaafu katika kipindi hicho. SAIDIA WENGINE

BREAKING NEWS: Rais Magufuli 'amtumbua' Mkurugenzi wa SSRA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa SSRA, Dkt. Irene Isaka.   BONYEZA HAPA UWASAIDIE WENGINE

RC Makonda atoa zawadi ya thamani ya sh. milioni 72

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo ametoa zawadi ya kufunga mwaka ya Ng'ombe 60 wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 72 kwa Jeshi la Wananchi JWTZ,  Jeshi la Polisi, Hospital ya Taifa Muhimbili, Ocean Road na Hospital za Mkoani humo kama chachu ya kuongeza morali ya kazi katika kuwahudumia wananchi. Katika mgawanyo huo Jeshi la wananchi JWTZ wamepata Ng'ombe 20,Jeshi la Polis Ng'ombe 20 na Sekta ya Afya Ng'ombe 20 ambapo RC Makonda amesema anafurahishwa sana na kazi kubwa na nzuri inayofanywa na vyombo hivyo. RC Makonda amesema Ng'ombe aliowakabidhi sekta ya Afya wataenda kula Madaktari, Wauguzi na wagonjwa watakaokuwa wodini kwenye hospital zote za Mkoa huo ikiwemo Muhimbili, Ocean road, Amana, Mwananyamala na Temeke ambapo RC Makonda ametoa nyama hiyo Kama zawadi ya sikukuu na pole kwa wagonjwa. Aidha RC Makonda amevipongeza vyombo vya ulinzi na Usalama kwa kusimamia hali ya usalama jijini humo kuwa shwari masaa 24 na kuwafan...

Pata faida :Kwanini utumie nanasi kwa wingi?

Image
Kwa mara nyingine tena Muungwana blog inakuja tena mbele ya macho yako ili uweze kusoma makala haya, ambapo siku ya leo tutazungumza ni kwanini ni muhimu kula nanasi kwa wingi. Kwanza kabisa unatakiwa kuelewa ya kwamba tunda la nanasi lina wingi wa vitamin A, B, C pia lina mkusanyiko wa madini ya Chuma, calcium, copper na phosphorous pia watalamu mbalimbali wa maswala ya afya wanatusahauri tule tunda hili kwani linasaidia sana kuimarisha mifupa na misuli ya mwili. Zifuatazo ndizo sababu ya kwanini uendelee kula tunda la nanasi: Husaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza wingi wa maziwa kwa akina mama wanyonyeshao, hivyo ni muhimu kwa watu hawa kuendelea kula matunda haya ili kuongeza kiwango kingi cha maziwa. Kwa wale wenye matatizo ya upungufu wa damu mwili basi tunda hili husaidia sana katika suala kuongeza damu mwili. Pia kama unamatatizo ya kufunga kwa choo basi unashauriwa kuendelea kutumia tunda hili  la nanasi kwani linauwezo mkubwa  wa kuwez...

MAGAZETI YA LEO 29/12/2018

Image

BIOLOGY PRACTICAL NOTES ADNVANCED LEVEL

Ubungo yapata neema hii

Image
Na ANDREW MSECHU-DAR ES SALAA KITUO kikubwa cha biashara cha kimataifa kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Stendi ya Mabasi ya Ubungo, ujenzi utakaoanza Januari mwakani na kuchukua miezi 18 kukamilika. Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya East Africa Commercial & Logistics Center Tom Zhang, alisema kitakapokamilika kituo hicho kinatarajiwa kuwa namba moja kwa nchi za Afrika Mashariki. Alisema kwa sasa tayari wana vituo viwili vya aina hiyo, cha kwanza kikiitwa Dragon Mall ambacho kipo nchini Dubai na kingine kikiitwa Yiwu City Mall nchini China. “Kituo hiki kitakuwa maalumu kwa ajili ya kuingiza bidhaa kutoka nje na kuuza bidhaa kwenda nje. Kutakuwa karibu na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya biashara za kimataifa. “Hii ina maana kwamba kikishakamilika, hakutakuwa na sababu ya mfanyabiashara wa Tanzania kusafiri kwenda China au nje ya nchi kununua bidhaa na kuzileta nchini. Safari hizo zinagharimu muda mwingi na gharama kub...

LOOOOH! :Simbachawene ampiga mfanyabiashara

Image
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM WAZIRI wa zamani wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, ameingia matatani baada ya kudaiwa kumshambulia mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam, Kassim Abdallah (37) hadi kusababisha alazwe Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Kibakwe (CCM), anadaiwa kutenda tukio hilo Jumatatu wiki hii eneo la Vingunguti, wilayani Ilala. Abdallah ambaye ni dereva, hivi sasa amelazwa  Muhimbili akipatiwa matibabu ya majeraha. Aliumia kichwani na sehemu nyingine za mwili. Akizungumza na MTANZANIA juzi, Abdallah aliyelazwa wodi namba 18 ya wagonjwa binafsi kwenye jengo la Sewahaji, alisema alikumbwa na mkasa huo Jumatatu usiku alipokuwa katika harakati za kwenda kuegesha gari ofisini kwao. Dereva huyo alikuwa akitoka safarini Rwanda na alisema ‘yard’ yao iko jirani na baa ya Titanic mahali ambako tukio lilitokea. “Ilikuwa saa 6 usiku, nilikuwa nakwenda kuegesha...

Duh!: Mchezaji huyu apatwa na haya

Image
Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa.

MAGAZETI YA LEO 28/12/2018

Image