VIDEO: JPM AFYEKLEA MBALI FORMULA MYA SAKATA LA KIKOKOTOO
Rais Magufuli ameamuru mifuko ya hifadhi ya jamii iendelee na kikokotoo
kilichokuwa kikitumika kwa kila mfuko kabla ya mifuko hiyo kuunganishwa
kiendelee hadi mwaka 2023 ambapo inakadiriwa kuwa wanachama takriban
58,000 ndiyo watakaostaafu katika kipindi hicho.
SAIDIA WENGINE
SAIDIA WENGINE
Comments