MBINU ZA KUFAULU MTIHANI KWA WANAFUNZI
Ili mwanafunzi aweze kufaulu mtihani lazima afanye yafuatayo
1.Mtihani ni nini?
2.kwanini kuna mtihani?
3.anayetunga mtihani ninani?
4.mtihani unajibiwa na nani?
5.mbinu gani za kujibu mtihani?
6.Mtihani unajibiwa ukiwa na hali gani (mud)
7.Nitafanyeje ili niweze kufaulu mitihani yangu?
8.Nifanyeje kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani?
9.Nikina nani wanapaswa kufaulu mtihani?
Akijua maswali haya mwanafunzi atajijengea juhudi ya kusoma ili afaulu zaidi
KUMSAIDIA MWANAFUNZI AFAULU SAYANSI BONYEZA HAPA
Comments