Duh!: Mchezaji huyu apatwa na haya
Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa
Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni
658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na
Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa.
Comments