LIVE: Rais Magufuli akipokea hati za utambulisho wa Mabalozi
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati
za utambulisho wa mabalozi mbalimbali leo Januari 16, 2019
Comments