VIDEO: Ridhiwani Kikwete atoa ujumbe mkubwa na mzito kwa vijana
- Get link
- X
- Other Apps
By
Maguruacademy
-
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametoa ujumbe mzito kwa vijana ambao wenye malengo ya kutaka kufanikiwa kimaisha. Ridhiwani amesema hayo wakati wa uzinduzi wa radio ya Hakuna Matata uliofanyika Alhamisi hii nya January 3, 2019 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa iliyopo Posta jijini Dar es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.
Comments