BREAKING NEWS: Waziri Angela Kairuki ahamishwa Wizara ya Madini

Leo December 08, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la mwaziri.
Tatika mabadiliko hayo Angela Kairuki amehamishwa kutoka wizara ya madini na kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Doto Biteko akiwa Waziri Kamili wa wizara ya Madini.

Comments

Popular posts from this blog

Wanakijiji watishia kumburuza kortini DC

TMA yatoa tahadhari mafuriko yaja