Mlipuko wa bomu wauwa polisi mmoja
Polisi mmoja ameuawa katika mlipuko karibu na kanisa mashariki mwa Cairo nchini Misri.
Bomu lililotegwa kwa mikono karibu na Kanisa la Abu Seyfeyn huko Cairo lililipuka ghafla wakati polisi wakijaribu kulitegua na kusababisha kifo cha polisi mmoja.
Polisi watatu wameripotiwa kujeruhiwa.

Comments