Makamu Mwenyekiti wa chama tawala Kenya ajiuzulu


Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha Jubilee nchini Kenya, David Murathe amejiuzulu wadhifa wake huo.

Lakini akanusha taarifa zilizojitokeza kwamba amejiondoa kwenye chama hicho.

Comments