Lundo la barua lamiminika Ikulu


Na BENJAMIN MASESE – MWANZA
OFISI ya Rais-Ikulu imesema inapokea malalamiko na barua nyingi kutoka kwa wananchi na watumishi wa umma yanayoshughulikiwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu na ukiukwaji wa sheria.
Akizungumza mjini hapa juzi kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi wa kati akifunga mkutano wa kazi wa siku mbili kwa makatibu tawala wasaidizi wa mkoa, makatibu tawala wilaya, wakuu wa idara ya utawala na rasilimali watu na wanasheria wa mamlaka za Serikali za Mitaa kutoka mikoa ya Geita, Kagera, Mara, Mwanza na Simiyu ofisa kutoka Ofisi ya Rais-Ikulu, Francis Mang’ira, alisema masuala mengi yanayofika Ikulu yalipaswa kushughulikiwa na ngazi za wilaya na mkoa.
“Masuala mengi yanayofika Ikulu yalipaswa kushughulikiwa na ngazi zawilaya na mkoa, lakini yanavuka hadi ngazi za taifa ikiwa chanzo ni watumishikutotimiza wajibu ipasavyo huku baadhi yao hutumia akili binafsi na ubinafsijambo ambalo kiutumishi halifai.

Comments

Popular posts from this blog

KESI YA ZITTO MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA YAHAMISHWA

Waziri asimamisha likizo za Marubani ATCL