JITIBU JIPU KWA DAW HII


Bilinganya ni kiungo ambacho hutumika kuongeza / kuleta ladha katika mboga. Pamoja kuwa ni kiuongo ambacho hutumika kuongeza ladha katika mboga pia Ikumbukwe ya kwamba bilinganya ni tunda ambalo ni dawa, ambapo hutumia kutibu magonjwa yafuatayo;

Vidonda vya tumbo.
Linasaidia sana kwa watu wenye matatizo ya kukosa usingizi wanashauri kula kwa wingi.

Pia kwa wale wenye matatizo ya  homa, Ikumbukwe bilinganya husaidia mtu kuwa na afya nzuri ya mwili pindi atakapolitumia.

Kwa wale wenye matatizo ya jipu kumbuka ya kwamba bilinginya ni dawa tosha juu ya tatizo hilo, unachotakiwa kufanya ni kwamba lipondeponde kisha uweke katika jibu.

Pia kama utaamua kutengeneza jusi yake, inaaminika ya kwamba tunda hili lina uwezo madhubuti wa kuondoa sumu zote zilizopo mwilini.

Endelea kutembelea Muungwana Blog kila wakati ili kupata masomo mengine mengi kama haya kila siku. Asante

Comments

Popular posts from this blog

Wanakijiji watishia kumburuza kortini DC

TMA yatoa tahadhari mafuriko yaja