AJALI:magari yagongana pia kuwaka moto kusababisha vifo vya waili


(Picha siyo ya tukio lenyewe) 
Watu wawili wamefariki papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso kisha kuwaka Moto mkoni Morogoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Makunganya Mkoani mkoani humo majira ya saa 11 alfajiri.

Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro ambapo inaelezwa kuwa mmoja wapo hali yake ya kiafya kuwa mbaya zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

Picha: Rais Magufuli akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi wa daraja jipya

WE CAN, WE MUST ,WE WILL:Dkt. Mengi awapongeza Serengeti Boys

Meli zachangamsha biashara ya usafirishaji